Kuhusu Morning Star
Morning Star Radio inamilikiwa na kuendeshwa na Tanzania Union Mission ya Kanisa La Waadventista Wasabato. Utume wetu mkuu ikiwa ni kuufikia ulimwengu, kutangaza ujumbe wa mwisho wa kipekee, wa kweli, na wa sasa kupitia muziki mzuri na neno Takatifu la Mungu.