Habari & Matukio

Usimikaji Wa Minara Kuongeza Masafa

Kituo cha Morning Star imefanikiwa kupata kibali cha kuongeza masafa katika mikoa zaidi ya 10 hapa nchini Tanzania. Zoezi la usimikaji minara linaendelea katika sehemu mbalimbali za nchi hii.