Utume Wetu
Kufanya wanafunzi wa Yesu Kristo ambao wanaishi kama mashahidi wake wenye upendo na kuwatangazia watu wote Injili ya milele ya Malaika Watatu ili kuwatayarisha kurudi kwake hivi karibuni. (Mathayo 28:18-20, Matendo 1:8, Ufunuo 14:6-12).
Jifunze ZaidiNjozi Yetu
Kwa kupatana na ufunuo wa Biblia, Waadventista Wa Sabato huona kama kilele cha mpango wa Mungu wa kurejesha viumbe vyake vyote ili kupatana kikamilifu na mapenzi yake kamili na uadilifu.
Jifunze ZaidiRatiba Ya Ibada
- Jumamosi 8:00 A.M - 6:00 P.M
- Jumapili 6:00 A.M - 7:00 A.M
- Jumatano 5:00 P.M - 7:00 P.M
Matukio Yajayo
- Juma la Uamsho November 14-21, 2022
- Juma la Kaya na Familia Disemba 4-11, 2022
- Meza Ya Bwana Disemba 28, 2022

